New Music : Wakazi – Bakora (Official Audio)

New Music : Wakazi – Bakora (Official Audio) 
Chorus:
Mabishoo mi
Nawachapa bakora, nawachapa bakora
mademu
Nao wanataka bakora, wanataka bakora
Verse: 1
Kitu gani wakiniita wakishua
Au kisa ni kiingereza, yeah mimi nakijua
Tena vizuri Tu, sio you know I’m sayin
I can talk proper, and little bit Slang
Like, shorty wazzhappenin, what’s the demo?
Ooh you got a man?! Shit I ain’t get memo
Ila bongo siku hizi, Hainaga ushemeji
Manfongo, si uongo wa kizungu na kienyeji
sichagui wote ni sawa wote nyama
Ila mimi ninachotaka ni wewe kuwa mama
Yao, ona upande wao wamehama
Na Wao wamekuja hutu tuliposimama, wow!!
Hawaridhiki na walichonacho
It’s sad, inatabidi tu kula kwa macho
Kimuziki, Mwalimu mkuu, natembeza bakora
even before sijawa Tu nominated na kora
Chorus:
Mabishoo mi
Nawachapa bakora, nawachapa bakora
mademu
Nao wanataka bakora, wanataka bakora
Verse: 2
Leo Mimi nimedhamiria
Ukweli wote mimi kukwambia
Ila ngoja, nilewe na nikisha kunywa beer
Nishai zote ziki nikimbia
I’m gon tell it like it is & what it should be
Napenda mademu wembamba, Ila bado wana vishuzi
Katie, Sara, Grace, suzie
I ain’t a womanizer, hope mabinti sijawauzi
Nikipita wanajiuliza who is he?
Nikipiga Pamba wao huziita nyuzi
Ninavyong’aa kama star kwenye movie
ready for commitment Ila “ndoa no”, mvivu
Kwenye bahari ya mapenzi nimezama
Nilichokuwa nataka ni wewe kuwa mama
Get the picture, tukitembea twatia fora
Shit is kinda funny kama Stan bakora
Chorus:
Mabishoo mi
Nawachapa bakora, nawachapa bakora
mademu
Nao wanataka bakora, wanataka bakora
Bridge:
dada zao wanataka…… bakora
doze yao wanapata…….bakora
ka mikasi mi nawakata
piga mitikasi, nikizipata
Verse: 3
Cheki navyong’aa, cheki navyong’aa
Kuanzia cheni, kidani, mpaka saa
Kila wakiniona wanapigwa na butwaa
Mara nyingine wananifananisha na mastaa
Yeah mastaa wa mtoni, nguo nazovaa Za mtoni
Nami nimeshawahi kukaa Mamtoni
Hata bongo ghetto nalokaa ni ka mtoni
Stakishari, sio kwa Azizi Ally, mtoni
Mabishoo wa vitu vya kuazima
Kushindana huwezi, home nna hazina
Kila nikitokea nawazima
Bila hela mfukoni, Mtu mzima
nawachapa….

Stream via Youtube
https://www.mpyakali.com/p/blog-page_24.html SHARE WITH FRIENDS
Share on Google Plus
    Leave Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment